Fundi la rangi akijaribu kuandika maneno upya ya Shirika la nyumba la Tanzania NHC Mtaa wa UhuruJamaa huyu alikuwa haeleweki mambo ambayo alikuwa akifanya inaoneka kama anaugonjwa wa akiri kutokukaa kwenye network
Jamaa huu akaamua kutembea pekupeku huku akisukuma mzigo katika mtaa wa posta ya zamani alikuwa akielekea maeneo ya Bandarini
Naomba kuuliza mtalo huu upokwenye barabara inayopita magari ya mwenge mbagara karibu na kwa Lukuvi pale sasa mtalo huu ni maji machafu au ya matenki mabovu ya mafuta?
No comments:
Post a Comment