HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

18 May 2010

timuya taifa ya ngumi inadhjamiria kufanya kweli maz

oezini Kocha wa Timu ya ngumi ya Taifa kikosi B Mazibwo Alli kushoto akiwaelekeza mabondia walioingia katika kambi ya timu ya taifa kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mashindano mbalimbali ya kimataifa mazoezi hayo yanafanyika kwenye uwanja wa ndani wa Taifa na kambi ya timu hiyo ya Taifa B imeanza jana jioni
Wachezaji wa timu ya Taifa ya ngumi wakifanya mazoezi leo katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam kujiandaa na mashindano mbalimbali picha kwa hisani ya http://www.burudan.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers