kutoka kushoto ni msamizi kutoka idara habari maelezo anayefuata ni katibu mkuu tbf na anafuata kuja kulia ni katibu mkuu msaidizi.
Maandalizi ya ligi ya muungano kwa upande wa mpira wa kikapu na tarehe mbili siku ya ijumaa huko zanzibar kutoka bara timu za wanaume ni savio ,jkt,oilers na timu ya mzinga wakati katika upande wa wananawake jesh stone town, kisima majogoo,rangers tonado kutoka pemba polisi, na nyuki jku lengo kubwa zaidi ni kuinua basket ball kiujumla maandalizi yanafanyika zanzibar kwani wao ndio waandaaji wakuu
No comments:
Post a Comment