Rais wa shilikisho la soka la tanzania TFF Leodgar Chila kulia kwake ni katibu mkuu anayemaliza muda wake Frederick mwakarebela kushoto kwake Abdalah Idrisa majura mwakilishili wa shilika la utangazaji katika idhaa ya kiswahili ya BBC .
Rais Tenga amesema kuwa nchi ya afrika kusini imetuletea heshima kubwa bara la afrika kwani kundaa michuano ya kombe la dunia nchini kwao kumeleta heshima kuwa afrika inaweza japokuwa timu iliyofanikiwa kufanya vizuru katika bara la afrika ni moja nchi fhana lakini amesifu uwezo wa timu ya taifa ya uispania kuwa walistahili kuchukua ubingwa kwani ilikuwa ni timu ambayo imejiandaa zaidi lakini akasema nchi za ulaya hazikupenda mashindano hayo yafanyike nchini afrika hasa vyomba vya habari vya magharibu vilikuwa visema kuwa itafutwe nchi mbadala ya kuandaaa fainali hizo
Tenga anamaliza kwa kusema kuwa ahsante mwakarebela unakwenda kugombea ubunge huko iringa . lakini umeifanyia makubwa TFF ila akatoa onyo kwa vilabu kuwa lazima wapunguze wachezaji wa kigeni iliwawaza wapate nafasi timu ya taifa ikue.
No comments:
Post a Comment