7 July 2010
Oranje yatinga fainali kombe la Dunia SA
Timu ya taifa ya uholanzi jana ilitinga hatua ya fainali baada ya kuibamiza timu ya uruguay katika uwanja wa Green point jana uholanzi ilishinda mabao matatu kwa mawili huku Diego Forlan na Giovan van Brokhost wakifunga moja kati ya magoli safi katika kombe la dunia mwaka huu hii leo ujerumani inakwaana na uispania katika nusu fainali nyingine itayaofanyika saa majira ya saa tatu na nusu usiku .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment