Mshambuliaji wa uispania fernando torres amekubali kuwa ajahahakikishiwa nafasi ya katika kikosi cha kwanza kitakachocheza Kesho dhidi Ujerumani katika nusu fainali ya pili itakayofanyika kesho usiku.Torres amesitikisha wengi kwani hajafunga goli hata moja katika michuano ya kombe la dunia.
No comments:
Post a Comment