Mchezaji wa zamani wa kalbu ya soka arsenal thiery henry (32) amejiunga na timu ya soka ya New York Red Bull henry amesaiani mkataba wa muda mrefu na mfupi na hatakuwemo katika kikso kitachicheza na TottenHam hotspurs "watu wanafikiri nakwenda kwa sababu ya maonyesho itakuwa kama mapumziko lakini kwa sasa aitakuwa kwa mapunziko wakati huu amsesma maneneo hayo kwenye tv ya website ya klabu hiyo kuwa anakwenda kushindana
Henry was released by Barcelona last month after scoring just four goals last season.
mchezaji aliachwa na klabu ya Barca mwezi uliopita
No comments:
Post a Comment