HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

2 August 2010

(NABWELA) NIMERUDI

Kocha Mkuu wa Timu ya Simba ya Dar es Salaam, Patrick Phiri (katikati) akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo mchana kwa ajili ya kuinoa timu hiyo inayojiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao, ambapo kocha huyo atakua na kazi ya ziada kukiandaa kikosi hicho kwa ajili ya mchezo na watani wao wa jadi Dar Young African katika mchezo wa Ngao ya Hisani (Jamii) unaotarajia kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa Agosti 8 mwaka huu. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Geofrey Kaburu. SUFIANMAFOTO.BLOGSPOT UNDERSTAND

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers