HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 October 2010

MUUINUE SOKA JAMANI

Rais wa tff leodegar temga amkabidhi mwalimu theresia maganga wa shule ya sekondari dar es salaam vifaa vya mashindano ya shule za msingi na sekondari
Rais wa shlikisho la kandanda la tanzania leodegar chila tenga akimkabidhi mark hatia mchezaji wa zamani wa moja kati ya jezi zitakazo tumika katika michuno ya shule za msingi na sekondari itakayoanza hivi karibu

timu ya taifa ya ngumi tanzania na sasa mwamuzi wa ktaifa wa mchezo huo katika ni sunday kayuni mkurugenzi wa ufundi wa tff

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers