Rais wa tff leodegar amesema kuwa timu ya taifa ya wanawake twiga star
s inaondoka ijumaa kulekea afrika kusini huku ikpita botswana kucheza mechi za kirafiki katika kujiaanda na michuano ya mataifa ya afrika kwa wanawake ambayo inashiki kwa mara ya kwanza lakini amesema haina kuogopa kwani hakuna mwanzo ambao ni rahisi katika soka na amemshukuru rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa msaada wa timu hiyo pembeni ni mwenyekiti wa chama mpira wanawake lina madina mhando
No comments:
Post a Comment