Kocha wa timu ya soka ya Juventus Antonio Conte. |
Kocha Antonio Conte ,wa Juventus ya Italia atakosa kuiongoza timu yake kutetea ubingwa italia kwa miezi kumi baada ya kupewa ya adhabu ya kukaa nje ya benchi la ufundi kwa muda wa miezi kumi. baada ya kukutwa na hatia ya kupanga matokeo katika kuwania ligi ya italia mara baaada ya uchunguzi uliokuwa ukifanywa kukamilka, amefungiwa baada ya kushindwa kutoa taarifa muhimu dhidi ya upangaji wa matokeo katika mechi mbili huku moja ikihusisha klabu yake ya zamani Siena katika msimu wa 2010-2011
sasa amefungiwa kutokukaa kwenye benchi la ufundi kwenye mechi dhidi ya Novara lakini adhabu yake ipo pale pale ya ,miezi 10-ikiwemo mechi ya Albinoleffe Aidha Conte mwenyewe amekanusha vikali kwa kusema anashangaa yeye kupewa adhabu kwa madai kuwa tangu Azaliwe hajawahi hata siku moja kucheza mchezo wa kubahatisha timu gani ishinde!SIKIZA HAPA
Conte anatarajia kwenda kukata rufani yake ya pili ambayo itasikilizwa mwezi september Conte 43 ambaye nimchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya italia ambaye aliiongoza Juventus kumaliza ligi bila kufungwa msimu uliopita na kutwaa yaji la Seria A atokuwemo kwenye benchi la ufandi wakati timu yake itakapocheza dhidi ya Parma Aug 25 huku mkurugenzi wa ufundi .Massimo Carrera atakuwa akiiongoza timu hiyo ambaye walikuwa wote alipokuwa siena .
, Angelo Alessio, amepunguziwa adhabu badala miezi nane sasa atakaa mizei sita Wachezaji wa timu hiyo Leonardo Bonucci na Simone Pepe wamefutiwa adhabu zao
Marco Di Vaio na Daniele Portanova wote wamefungiwa kwa miezi sita baada ya kushindwa kutoa ushirikiano kuhusu upangwaji wa matokeo kati ya Bologna vs Bari May 2011.
No comments:
Post a Comment