Kichwa kilichopigwa kipindi cha kwanza kutoka kwa  Leandro Damiao  NA Goli  la mwisho kutoka kwa Alexandre Pato  liliapa ushindi  washindi wa Nishani ya fedha katika michuno ya Olimpick  Brazil kwa kuifunga Sweden mabao matatu sifuri ni siku nne tu zilizo pita kwa baada ya kufungwa na katika mashindano ya olimpick yaliyofanyika jijini London Uingereza na Kufungwa na Mexico Fainali
Samba walirudi katika ubora wa siku na kuifunga sweden ambapo ilikuwa ni siku ya sherehe kwao kwani kiwanja walichotumia ndicho walichochezea fainali dhidi ya sweden mwa 1958 ambapo Brazil ikiongozwa na Garincha itwaa ubingwa wa dunia kwa mara ya kwanza ilimchukua Pato dakika 84th-kufunga goli la ushindi baada ya mshambuliaji wa Internaciona Damio kufaniywa faulo katika eneo la pernaty   katika dakika ya 32 ya mchezo na  Brazil ambayo haihawahi kupoteza kwa sweden  Pato alifunga bao la tatu kwa mkwaju huo wa pernaty 
mpaka mwisho wa mchezo Brazil tatu sweden sifuri brazil ilionekana kuumiliki mpira zaidi na kurjea katika viwango vyao kawaida.