HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 August 2012

CASTER SEMENYA AINGIA NUSU FAINALI MITA 800 LONDON OLIMPICK

Pichani ni Cater Semenya mwanariadha kutoka afrika kusini .

 Bingwa wazamani wa mita mia nane Caster Semenya amefuzu nusu fainali ya Mita 800 katika mashindano ya olimpick mara kwanza .

Binti huyo mwenye miaka ishirini na moja ambaye alifanyiwa vipimo kuhusu Jinsia yake baada ya kushinda mashindano ya ridha mwaka 2009 aliyumia dakika mbili na sekunde 71.
Mwingereza Lynsey Sharp, Mmarekani Alysia Johnson Montano na Mkenya ambaye ni bingwa Mtetezi Pamela Jelimo wote walifuzu
Sarah Attar, mkiambia wa kwanza wa kike kutoka Saudi naye alikuwa alikuwemo kwenye mbio hizo na alipo fika katika katika mstari wa kumaliza mbio alipewa heshima kuwa kushangiliwa na watazamaji
Aidha mwingereza sharp 22 alichaguliwa baada ya washiriki wenzake waanne kutoka uingereza kukimbia kwa haraka zaidi lakini alisema kuwa kuchaguliwa kwake kwa utata hakujamfurahisha sana 
"Nimesema kwa yote yaliyotokea nimejaribu kuvunja takwimu hii lakini sikufanikiwa mwanaridha huyo kwa dakika 2:01.41 kushinda nipo vizuri kwasasa.
Semenya alitikisa Vyombo vya habari Duniani alipotakiwa kupima kujinsia yake na shirikisho la ridha la dunia IAAF Baada ya kushinda ubingwa wa dunia.
Ambapo kuliibuka na mashaka mengi kuhusu jinsia yake baada ya kuonyesha ukakamavu wa hari ya juukatika kuvukuza upepeo  na kuongeza kwake kwa uwezo kila wakati .
Badae alifungiwa miezi kumi na moja na shirikisho la riadha la IAAF lakini alirejeshwa kiwanjani mwaka 2010
Semenya alishinda nishani ya Fedha ya dunia huko Daegu Korea ya kusini japokuwa alikuwa na matatizo katika mgongo wake.
Yalikuwa nashindano ya kutafuta vigezo alinukuliwa akisema hayo huko korea Binti huyu alibeba bendera ya afrika kusini katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya olimpick jijini London .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers