Shirikisho la kimataifa linalosimamia mpira wa miguu Dunia fifa limeanza kuchunguza Mashikata yanayomkabili aliyekuwa Rais wa shirikisho la soka la soka barani asia Mohamed bin Hamman Kamati ya maadili imefungua mashtaka hayo dhidi ya kiongozi wa zamani wa Asia ambaye pia alikuwa rais wa shirikisho la soka la Qatar alifungiwa kutokujishughurisha na shughuri zozote zinazohusina na mpira wa miguu kwa siku 90 kuanzia July' 26. 2012 Baada ya kukutwa ba hatia ya udanganyifu katika kutaka kuwa rais wa shirikisho la soka Duniani fifa mwaka 2010 aidha rais huyo alifungiwa kifungo cha maisha ,kabla mahakama ya michezo kutengua adhabu CAS July 19 kwa kile kilichoitwa hakukuwa na ushaidi wa kutosha
Bin .Hammam allikuwa moja katia washirika wa kubwa wa rais wa sasa wa fifa Sepp Blatter katika uchaguzi uliopita walipokuwa katika kampeni na alimpatia ndege yake binafsi katika baadhi ya misafara yake lakini alituhumiwa kwa utoaji rushwa alipokwenda kinyume na yeye katika uguzi uilifuata huko uswisi mwaka 2010 katika kashfa hiyo Hamman alikuwa sehemu kubwa ya kufanikisha kombe la dunia la mwaka 2022 linafanyika Nchni QATAR
No comments:
Post a Comment