Katibu mkuu
wa shirikisho la mpira wa miguu la Tanzania Angetile Osiah amezitaka kamati za
uchaguzi za mikoa kufuata utaratibu unaoatakiwa katika kusairi wagombea watakao
gombea nafasi mbalimbali katika vyama vya mikoa katika chaguzi za Tff ,amesema
wasimfumbie macho mtu yeyote atakaye leta cheti cha elimu ambacho sio sahihi kwa
nafasi anayo gombea. Ame na zungumza swala hilo leo hii katika ofisi za TFF alipokuwa akitaja Tarehemuda wa kuanza utaratibu wa michakato ya uchaguzi katika vyama vya mchezo huo.
SIKIZA HAPA
No comments:
Post a Comment