k
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki
zenye thamani ya sh. milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala
jijini Dar es Salaam, wakati wa operesheni ya kuwakata wezi wa kazi za
wasanii inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la
Polisi. watu wengi wamekuwa wakiiiba au kufoji kazi za wasanii ambao huishia kuwa maskini .
No comments:
Post a Comment