Wadau wa Michezo Tanzania akiwemo
katibu mkuu wa chama cha Ngumi za ridhaa Tanzania (BFT) makore mashaga amesema Tanzania
aikujiandaa inavyotakiwa ndio maana hawakufanya vizuri amesema kuwa kinachotakiwa
sasa ni kujindaa kuanzia sasa na
mashindano ya brazil na kuitaka serika kufanya kazi ya ziada bila hivyo balaa
litakuwa palepale.
Kushoto ni Katibu mkuu wa BFT makore Mashaga .
SIKIZA
Naye mjumbe wa kamati ya utendaji ya
chama cha riadha Tanzania RT Tulo chambo amesema kuwa Tanzania inatakiwa kufikiria nini ambacho itakifanya
huko brazil mwaka elfu mbili kumi na sita kwani maandalizi yanatakiwa kuanza
sasa na sio kusubiri mwezi mmoja kabla ya mashindano.
Mjumbe wa kamati ya Utendaji RT Tulo Chambo Ambaye pia ni mhariri mkuu wa michezo gazeti la Tanzania Daima.
SIKIZA
No comments:
Post a Comment