Mwenyekiti
wa kamati inayoratibu uchaguzi wa chama cha waamuzi FRAT Al Hdji Muhidin
Ndolanga Ambaye pia aliwa kuwa Mwenyekiti wa chama cha soka Tanzania (FAT) ambapo sasa ni TFF ametoa ufafanuzi kuhusu wagombea wanaotaka kugombea nafasi katika
chama hicho jinsi ya ulipaji wa fomu ambapo kumefanyika mabadiliko tofauti na
ilivyokuwa mwanzo kuwa wale waliofanyiwa usairi mara kwanza hawahusiki na
malipo hayo kama ilivyolipotiwa hapo mwanzo.
SIKIZA HAPA
Uchaguzi huo wa frat unatarajia kufanyika hivi karibuni mara baada ya zoezi la usairi litakapokamilika.
No comments:
Post a Comment