Stephen Kiprotich wa Uganda ameshinda mbio za Olympic kwa wanaume huko London, akiwashinda wakenya Abel Kirui na Wilson Kipsang.
Kiprotich alikuwa akiongoza kwa kumaliza km 37 japokuwa alikuwa ameumia kwenye mguu wako na ndiyo Nishani pekee ya dhahabu kwa uganda katika olimpick mwaka huu ambapo alitumia masaa mawili dakika nane sekunde kumi na moja nukta ishirini na sita
Kirui na Kipsang walitumia dakika moja zaidi nyuma yake
Mwingereza Lee Merrien na Scott Overall walimaliza nyuma ya
Kipsang na walichukua nafasi mara baada ya Mbrazil Franck de Almeida's kuongoza mwanzoni hadi alipokuja kuchemka Kiprotich na Kirui na ndipo ilikuwa njia nyeupee kwa watatu hao kushinda Nishani hizo stephen Kiprotich alionekana kupigana kiume japokuwa alikuwa ameumia mguu
lakini ghafla alioneka kusonga mbele , Stephen alisema "hii ina maana kubwa kuhusu uganda tangu 1972 hatujuawahi kushinda Nishani ya Dhahabu kwa hiyo wanafuraha sana leo"
Uganda' ilipata nishani ya mwisho ya Dhahabu ya mita 400m kuruka Viunzi wakati huo ilikuwa kwa John Akii-Bua, wakati huo Mashindano yalifanyika Munich Ujerumani 1972.
No comments:
Post a Comment