Al Haji Muhidin Ndolanga . |
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya chama cha waamuzi frat Muhidin Ndolanga Ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa chama cha soka Tanzania wakati Huo FAT amesema viongozi wote ambao walichukua fomu kuwani nafasi mbalimbali katika chama cha Waamuzi FRAT wafike kesho Tarehe 18 katika ofisi za chama cha soka Tanzania TFF ambapo fomu hizo zilichuliwa tarehe tano mwezi wa nane mwaka huu na kurejesha tarehe 11 mwezi wa nane mwaka huu ambapo kamati yake ilitaraji kukaa kwanzia tarehe 16 hadi 20 kuwahoji wa wagombea ambao walichukua fomu kugombea nafasi mbalimbali aidha vigezo ambavyo vinahitajika kwa viongozi wanaotakiwa kuongoza chama hicho zinajurikana wazi kwa wanaotaka kugombea nafasi hizo kwani zinahitaji ufundu wa kisomi zaidi ambapo ni lazima wawe waamuzi wastaafu ambao wanauzoefu usiopungua miaka mitatu kwa viongozi wa kawaida na wale wanaotaka uongozi wa juu ni lazima wawe na uzoefu wa miaka mi tano. Aidha Ndolanga ameitaka kamati yake ya uchaguzi kesho wafike kwenye mkutano kuanzia Asubuhi saa Tano ilikukamilisha zoezi la usairi .
No comments:
Post a Comment