Med Sebyala kutoka uganda-2012 atapambana na mbondia
mtukutu THOMAS MASHALI katika ukumbi wa friends corner ulioko manzese
jijini dar-es-salaam ,kuwania ubingwa wa afrika mashariki na kati ktk
uzito wa kati [middle ] kg 72.5.
MED SEBYALA ni bingwa wa uganda katika uzito huo wakato thomas mashali ni bingwa wa tanzania wa TPBO uzito huo huo wa kati.
pambano hili linawakutanisha mabondia wakali na wakatili wawapo ulingoni kwa kanda hii
ya afrika mashariki .
wakati med sebyala ameshawahi kupambana na francis cheka mjini
morogoro kuwania ubingwa wa UBO ,Na pia akapambana na bondia mkongwe
nchin RASHID MATUMLA jijini dar-es-salaam na kutowa upinzania mkali
kiasi cha kumaliza mapambano yote hayo kwa kushindwa hwa points
,mpinzania wake THOMAS MASHALI yeye amekuwa akiwapa adhabu kali
wapinzani wake kwa kuwatwanga kwa knock-out za mapema tu isipokuwa
SELEMAN GALILE pekee aliyefanikiwa kunaliza pambano la kugombea ubingwa
wa TPBO uzito wa kati.
wa mabingwa wa nchi zao wakimenyana siku hiyo .
pambano hili ni mahususi kwa ajili ya kumkumbuka baba wa faTPBO inawataka wapenzi wa ngumi za kulipwa wa jiji la dar-es-salaam
na vitongoji vyake kukaa tayari na kujiandaa vyema kwa kushuhugia
mpambano ifa hayati mwl julius kamarage nyerere.
tumeamuwa kuwa kila tarehe ya kumbukumbu ya kifo cha mwalimu
nyerere TPBO itakuwa inaandaa mapambano ya ngumi ,ikiwa ni hrshima kubwa
kwa utawala wake wa serikali ya awamu ya kwanza kwa jinsi alivyokuwa
akisaidia michezo yote bila kubaguwa , kinyume na sasa hivi ambapo
mchezo wa ngumi za aina zote umetupwa , na hauthaminiwi ,na hata
wdhamini wanauona kama ni mchezo wa wahalifutunasikitika sana tuonapo
kuna jamii ya watanzania wenzetu wanathaminiwa michezo yao ,wakati
watanzania wengine wanadharauliwa na kubaguliwa katika mochezo.
No comments:
Post a Comment