Bondia Nuru Ibrahim kg 91 wa Magereza akiwa amelala chini baada ya
kupokea konde zito Haruna Swanga wa Ngome jana kwenye fainali za ngumi
za ridhaa zilizokuwa zinafanyika uwanja wa ndani Taifa, Swanga aliibuka
bingwa.(1134, 1111)
Bondia
wa kike Mather George (red) akimrushia konde Irene Kimaro wa Tabora
kwenye mchezo wa fainali kg 49 na Mather George alishinda
1150,
1164) Bondia wa kike Ester Kimbe kg 49 wa ngome (red) akidhihirisha
kuwa anajua ngumi dhidi ya Mariam Nyerere wa (Dodoma) kwenye fainali za
ngumi za ridhaa zilizofanyika uwanja wa ndani wa Taifa.
No comments:
Post a Comment