Kwa mujibu wa chanzo cha habari tulizo zipata ammbazo bado hazijathibitishwa na zimeona katika vyombo vingi  vya habari kuwa  Mwenyekiti wa klabu ya YANGA YUSUPH MANJI amemtimua kocha ambaye 
alipokerewa  kwa shamra shamra za hari ya juu TOM SAINTFIET na kupachikwa jina Mtakatifu na magazeti mengi ya Tanzania  bila ya kuwa na uhakika kama yeye mwenyewe anajua kuwa anaitwa hivyo ,ambaye aliiongoza  yanga katika kombe la kagame na kuonekana kuanza vibaya kwa  ya timu hiyo  
msimu mpya wa ligi kuu TANZANIA BARA,taarifa ambazo hazijawa rasmi zinasema kuwa mkufunzi huyo huenda akakosekana katika benchi la ufundi la timu hiyo hapo kesho , ikumbukwe kuwa tangu kuondoka kwa kocha kostadin papic raia wa serbia  hakuna kocha ambaye amedumu katika klabu ndani ya miezi sita wengi wameishia kunawa  na jambo kuu lakujiuliza ni kuwa je nini mustakabali wa soka ya tanzaniaa hasa kwa klabu kama yanga ambayo inatarajiwa kuwakilisha nchi katika michunao ya klabu bingwa barani afrika mwaka huu aidha kwa upande mwingine klabu hiyo kesho jumamaosi itafanya mazungumzo na waandishi wa habari kuhusu mustakabari wa klabu hasa katika benchi la uifundi 
huku  kesho ikitarajiwa kukipiga na 
JKT RUVU
No comments:
Post a Comment