Viongozi chama cha Netball mkoa wakitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu za Polisi, Ras Mbeya juu ya masuala ya kujituma wakati wa mazoezi. |
Mashindano ya yanayoendelea ya mpira wa pete jijini mbeya huenda yasiishe kwa muda muafaka kutokana na muingiliano wa ratiba, moja kati ya kiongozi wa chama cha mkoa wa mbeya ambaye akufahamika jina lake amesema wamekuwa wakilazimika kukatisha au kupandanisha mechi kutoka na muingiliano wa mashindano ya ligi ya premier na tamasha la fiesta ambalo litafanyika leo jioni katika uwanja wa kumbukumbu ya sokoine jijini mbeya na kuongeza gharama za uendeshaji ambapo chama hicho kinashindwa kuhimili kifedha na kuzingatia baadhi ya timu zunajitegemea hiii inaonekana kuwa vyama michezo vimeshindwa kuwasiliana na kupanga ratiba ya michuno yao.
SIKIZA HAPA
No comments:
Post a Comment