HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 September 2012

WANAWAKE FIFA U20 JUUU

Stars delighted with special awards
Kombe la dunia la  FIFA U-20 kwa wanawake liliofanyika nchini Japan lilifikia tamati baada USA kutwaa ufalme wa kandanda .

Dzsenifer Marozsan  Alipewa Mpira wa  Dhahabu  kama mchezaji bora wa mashindano japokuwa alishinda kikombe pia

Dzsenifer Marozsan:
“ sikutegemea yote haya . Unaweza sikia watu wengine wakizungumzia jinsi unavyocheza vizuri , lakini unapopata kitu kama hiki ni jambo la kushtukiza  , ni jambo kubwa sana kwangu .”

Nahonda wa USA  Julie Johnston Amepewa mpira wa shaba baada ya kuwa mchezaji bora wa pili katika mashindano


Germany No1 Laura Benkarth huyu ni mlinda mlango wa timu ujerumani  alicheza mechi tano bila kuruhusu wavu kutikiswa yeye alipewa glovu za dhahabu 
Wenyeji  Japan  wao walishangilia zawadi mbili ushindi wa tatu na kiatu cha fedha baada mchezaji wao kuwa mfungaji wa tatu  cha   FIFA  Yoko Tanaka

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers