Shirikisho la soka la mpira afrika CAF limeondoa senegal katika mashindano ya mataifa ya afrika 2013 Orange, japokuwa ilishafungwa Dhidi ya Ivory Coast kamati ya Nidhamu ya CAF ilikutana jana jijini Cairo, 16th of October 2012 ili tazama tukio hilo lilisobabaisha kwa mechi na 56 kuvunjika kati ya Senegal na Ivory Coast .
katika kufuzu mashindano ya 29th ya mataifa ya afrika mechi iliyochezwa huko Dakar.
ambapo milipuko ,mawe, chupa, na miale ya moto ilirushwa kiwanjani ambapo ililazimika kutumika mabomu ya machozi ilikuwaondoa wachezaji kiwanjani pamoja na waamuzi ambapo mechi hiyo ililazimika kuvunjika katika dakika ya sabini nne baada ya ajari hiyo kutokea.
Shirikisho la mpira wa miguu limeiondoa ramsi timu ya taifa ya senegal katika mashindano hayo kwa sheria kuipa ushindi ivory coast wa mabao mawili kwa bila kwa mujibu wa kanuni za mchezo namba 16 kifungu cha 20 kinatambua kuwa Senegal ndio iliyopoteza mechi hiyo ,katika kanuni za mashindano ya sheria namba 16 kifungu cha 20 kinasema :
kama mwamuzi atalazimishwa kusimamisha mchezo kabla ya muda wa mchezo kumalizika kiwanjani baada ya mashabiki kuvamia kiwanjani au tukio lolote ambalo litaiathiri timu ngeni ,basi timu mwenyeji itaamuliwa kupoteza mechi hiyo na itatolewa katika mashindano .

No comments:
Post a Comment