Mwanasheria mkuu Dominic Grieve ametangaza leo hii kuwa atafungua tena mashtaka ili yasikilizwe upya baada ya Mashabiki 96 kufa katika uwanja wa Hillsborough April 15, 1989.
juhudi hizi zimeongozwa na wanafamilia na mama maarufu ,Anne Williams, ambaye mwanawe Kevin alikuwa moja watu walipoteza maisha .
akitoa taarifa katika katika Bunge la uingereza maarufu kama the House of Commons, Mwanasheria mkuu amesema " kwa ushahidi huu hasa katika jambo hili na kwa wale waliopoteza maisha lakini sina maana ya kutonesha kidonda kwa wale wote ambao wamepoteza wapendwa wao ,Nimeamua kuchukua hatua zaidi na ni hatua ya kipekee na naona ni bora kupereka tena mashtaka haya mahakamani yakasikilizwe upya ni lazima tuchukue hatua hii aliongeza kusema kuwa nitachukua muda wote na kuhakikisha nachukua ushaihidi wa kutosha ili kufungua mashtaka upya na hii itakuwa kesi kubwa zaidi kupatwa kusikilizwa na kusema kuwa kazi hii itapewa nafasi kubwa zaidi kisheria .
No comments:
Post a Comment