Lance Amstron ameatakiwa kurejesha pesa za bima ya uendesha
baskeli ambayo alipewa kama Bonus katika michuano ya Tour De France kiasi cha
Dola $7.5m ambacho ni sawa na pauni (£4.7m)
kutoka kwa kampuni ya Texas , Armstrong ambaye alichukua pesa isivyo
kihalali mara baada ya kushinda kwa udanganyifu katika mkataba waliowekeana
kisheria angepewa hizo kama angeshinda mashindano ya 2004 to 2006. Kampuni ililazimika kulipa Dola $5m, na nyongeza ya $2.5m katika ada ambayo ingeongezeka kutoka na
ushindi huo . SCA sasa inataka Amstrong Arejeshe Pesa
hizo
No comments:
Post a Comment