HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 October 2012

MGAMBO JKT 0-OSIMBA


Klabu ya simba imeendelea kutoka sare ya bila kufungana katika michuano ya ligi kuu baada ya hii leo kutoka sare na Timu ya Mgambo JKT katika mchezo uliofanyika mkoani Tanga kwenye uwanja wa Mkwakwani. Kwa matokeo hayo Simba imefikisha point 19 ikiwa inaongoza kwenye msimamo wa ligi kuu.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers