HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 October 2012

NSY YAPEWA KAZI NA FA KUCHUNGUZA UBAGUZI WA MECHI YA CHELSEA


Ubaguzi wa Rangi unaweza kushika vichwa Habari ambavyo vitahusisha ligi ya premier ya uingereza hasa  kwa waamuzi katika miezi ya hii la karibuni ,lakini aksrai wametangaza kufanya uchunguzi katika swala la ubaguzi wa rangi Mark Clattenburg, ambaye alichezesha mechi ya kati  Chelsea's dhidi ya Man utd katika ushindi utata  3-2 siku ya jumapili ,ambaye anashutumiwa kwa kuwatamkia lugha ambayo siyo nzuri hasa kwa wachezaji wawili wa timu hiyo
Wachezaji watakao hojiwa ni ni pamoja na kiungo  John Obi Mikel kutoka Nigeria na  Juan Mata kutoka  Uispania . kama askari wataridhika na uchunguzi wao dhidi ya Clattenburg, maamuzi yanaweza kufanyika mwakani kwani hata sakata la Jonh Terry lilichukua miezi tisa kufanyiwa maamuzi kwa hiyo maamuzi hayo yanaweza ya kafanyika mwezi ujao  chama cha soka cha uingereza kimefungua jalada la uchunguzi jana jumatatu dhidi ya  Clattenburg japokuwa bado haijafahamika kama atapatikana hatia atapewa adhabu gani ,kwani Terry yeye alipewa adhabau ya kufungiwa mechi nne

Clattenburg na wasaidizi wake watatu walikuwa wamavalia vinasa sauti zenye spika  his three assistants were all wearing microphones and earphones, lakini katika sheria za  FIFA  airuhusiwi kurekodi majadiliano kama kama hayo kwani katika sheria za fifa sio lazima kufanyika kwa zoezi hilo kwa utaratibu huo kuna haja ya fifa kuanzisha utaratibu wa kurekodi sauti za waamuzi ilikuopata ushahidi kwa urahisi

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers