Makamu mwenyekiti wa klabu ya simba amezungumzia kukerwa na mwanuzi wa mechi ya jana kati yao na watani zao wa jadi yanga kwa kuchezesha vibaya mchezo huo ambao ulikuwa ukionyeshwa na kituo cha Runinga cha supersport 9 EAST ambapo baadhi ya matukio yaliyokuwa yakitokea yalistahili kadi nyekundu hasa baada ya Haruna moshi boban kufanya faulo ya makusudi kwa mchezaji wa klabu ya soka ya Dar Es Salaam Young African Mchezo huo ulichezwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaamm.
SIKIZA HAPA
Naye Makamu Mwenyekiti wa klabu yanga Clement akupishana sana na Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya simba ila yeye alijikita zaidi katika swala mapato ya mechi hiyo ambayo yameingiza shilingi milioni mia tatu tisini huku simba na yanga zikiambulia milioni 90 kila moja na kusema kuwa katika swala mapato bado TFF haijawatendea haki.
HAPA SIKIZA
No comments:
Post a Comment