Katibu Tawala Wilaya ya Moshi Mjini , Hashimu Shimbo(kulia) akiwakabidhi Kikombe wachezaji wa klabu ya Polisi Baalax mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Darts Taifa(TADA) yaliyofanyika katika Hoteli ya Hugo’s Moshi Mkoani Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment