HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 October 2012

RICADO SA PINTO ATEMESHWA KIBARUA URENO


Kocha wa Sporting Lisbon  Ricardo Sa Pinto amaefukuzwa kazi  na timu hiyo inayoshiriki ligi ya soka ya   Ureno baada ya kuwa na mwanzo mbaya msimu huu. klabu hiyo imethibitisha ijumaa ya leo
Sporting, amabayo inashika nafasi ya saba kwenye ligi ikiwa na alama sita kibindoni , ilikung'utwa mabao 3-0 na timu kutoka Hungarian Videoton katika michuano ya UEFA Europa League  alhamisi , Ambapo sasa wanakamata nafasi ya chini kwenye kundi lao la G baada ya kucheza mechi mbili  .

Sa Pinto, aliichukua timu hiyo  February 2012,nafasi yake itachukuliwa na   Oceano Cruz, kabu ilithibitisha katima tovuti yake  

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers