Kiungo wa Barcelona Sergio Busquets amefungiwa na shikirikisho la soka la ulaya UEFA Baada ya kumchezea Vibaya Nahodha wa klabu ya Benfica ya ureno Maxi Pereira.
katika mechi ya ligi ya mabingwa ulaya kundi G iliyokwisha kwa Barcelona kupata ushindi wa mabao mawili kwa sifuli 2-0 ambapo Busquets alipewa kadi Nyekundu katika dakika ya 88th dhidi ya nahodha huyo wa Benfica Maxi Pereira.
Adhabu hiyo inaanza Tar 23 pale Barcelona itakapokwaana na Celtic, Barcelona na 23 October Nou Camp na mechi ya Marejeano huko Glasgow 7 November. mchezaji huyo ana siku tatu za kukata rufaa .
Adhabu hiyo inaanza Tar 23 pale Barcelona itakapokwaana na Celtic, Barcelona na 23 October Nou Camp na mechi ya Marejeano huko Glasgow 7 November. mchezaji huyo ana siku tatu za kukata rufaa .
No comments:
Post a Comment