Nahodha wa timu ya soka taifa ya uingereza Steven Gerrald amesema kuwa hakuta kuwa na kisingizio cha mchezaji yoyote kwenye kikosi cha uingereza pindi watakapo kuwa wamefungwa katika mechi yoyote ile kwani wamejengewa kiwanja cha kisasa zaidi cha kufanyia mazoezi ambacho hakijawahi kutengenezwa sehemu nyingine yoyote ile ambacho kimepewa jina la St George's Park huku kikiwa kimesheni vifaa vyote vya michezo vinanyotakiwa vya kimataifa katika soka .
chama cha soka cha uingereza kimesema kuwa kitajumuisha timu zote ishirini na nne kutoka kwa watoto hadi wakubwa
kwani kwasasa wanakiwanja bora zaidi na tunavifaa vya hari ya juu aliongeza Gerrard. tunawaeleza wachezaji wetu kuwa hawana cha kujitetea kwani sehemu hii ni adimu kupindukia
"
St George's Park, ambacho kilifunguliwa na mwakilishi wa maikia huko Cambridge
kate Midleton
ambapo kila milango ya kuingilia kiwanjani 11 ,
ambapo milango mitano kati ya hiyo imewekwa taa na chini kuna udongo wa uvugu uvugu ambapo ina milango ya aina ya 3G na nyasi bandia ambayo hubadilika kutokana na hari ya hewa ,uingereza itatumia kiwanja hicho katika kujianda na mechi ya kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia dhidi
San Marino mechi itakayo fayika katika dimba la wembley 12 October kabla hawajasafiri kwenda Poland on 16 October.
Meneja wa timu hiyo Roy Hodgson amesema kwake yeye aamini kuwa St
George's Park, italeta mafanikio anachooamini kuwa kwa jinsi gani wachezaji watajituma ilikuleta lile ambalo wao wanahitaji na jisi wao watapvyopatumia wachezaji wananafasi ya kuja hapa na kufanya mazoezi ya haja, kuna kila kitu lakini ni jinsi watakavyotilia maanani ndio tukavyoweza kushinda na sio vinginveyo sehemu hiyo imetumia pauni za uingereza mil 105 sawa na bilioni mia mbili milioni mia sita elfu mbili mia tano .
No comments:
Post a Comment