Mshambuliaji wa timu ya soka yanga akijaribu kuwatoka mabeki wa simba katika mchezo wa ligi kuu ya soka tanzania bara ambapo mchezo huo umeisha kwa timu zote mbili kwenda sara ya goli moja kwa moja goli.
Timu ya simba ndio waliokuwa wa kwanza kupata goli lililofungwa dakika nne ya mchezo katika kipindi cha kwanza wakati goli la kusawazisha la yanga limefungwa na said bahanuzi kwa mkwaju wa pernaty Baada ya beki wa simba kuunawa mpira katika eneo la hatari lakini mchezaji wa timu ya soka ya yanga simion msuva alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu ya makusudi mchezi wa simba Juma nyoso aidha hizo zilionyesha kandanda safi kipindi cha kwanza lakini kipindi cha pili hasa kuanzia dakika ya sabini timu hizo zilishindwa kuonyesha kandanda baada ya kuanza kuchezeana rafu zisizo na msingu huku haruna moshi boban akimfanyia faulo mchezaji wa klabu ya yanga
Kelvin yondani na kutolewa nje na machela
Mchezaji wa yanga Haruna Niyonzima akijaribu kumtoa mchezaji wa simba Shomari kapombe kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.
No comments:
Post a Comment