HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 November 2012

Clattenburg hatafunguliwa mashtaka-FA

Shirikisho la mchezo wa soka nchini Uingereza FA limetangaza kuwa halitamfungulia mashtaka yoyote Mwamuzi , Mark Clattenburg, ambaye anatuhumiwa kutumia lugha ya ubaguzi dhidi ya mchezaji wa Chelsea, wakati wa mchuano wa mechi ya ligi kuu ya premier ya England.

Mchezaji huyo ambaye ni  kiungo wa Chelsea, Ramires, alidai kuwa alisikia Mwamuzi  huyo akimueleza mchezaji mwingine wa Chelsea John Obi Mikel, Nyamaza nyani wewe wakati wa mechi yao tarehe 28 mwezi uliopita dhidi ya Manchester United katika uwanja wa Stamford Bridge.

Lakini shirikisho hilo limesema kuwa hakuna ushahidi wa kutosha ili kumfungulia mashtaka Mwamuzi  huyo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers