HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 November 2012

LAZIO 0-0SPURS Hugo Lloris AFANYA KWELI


Gareth Bale fires a shot against Lazio


Tottenham's imepata sare ya nne katika mashindano ya  Europa League msimu huu.
katika mchezo uliochezwa katika jiji la   Rome,
ambapo sasa wanahitaji kufanya kazi ya ziada ili waweze kufuzu hatua inayofuata katika mashindano hayo .

Gareth Bale alifunga goli  ndani ya Dakika tano goli hilo lilikataliwa kwani alikua amekwisha otea .
  Lakini mlinda mlango wa spurs  Hugo Lloris, aliweza kuokoa michomo hatari japokuwa alikuwa katika nafasi mbaya zaidi . 
Mfaransa huyo aliokoa mipira uliopigwa na 
  Libor Kozak mara nne na  kuweza kuibakisha spurs katika hari ya ushindani . 




No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers