Ikicheza mechi ya 50th ya ligi ya Nyumbani bila kufungwa huku ikichagizwa na ushindi wa bao nne sifuri dhidi 4-0 ya Nordsjaelland katika ligi ya Mabingwa ulaya jana ilifanya kufuru tena , baada ya kuifumua Pescara 6-1 na kuongoza ligi hiyo kwa alama nne kileleni katika ligi ya Serie A.
Inter Milan waliziba pengo hilo kwa alama moja baada ya ushindi wa mabao matatu siku saba zilizo pita lakini kazi itakuwa nzito leo watakapo safiri kuifuata Atalanta ambayo inashika nafasi za kati katika ligi ya italia .
Mshambuliajai wa Juve Fabio Quagliarella akichagizwa na goli alilofunga katika ya wiki dhidi ya timu kutoka Denmark alifunga mabao matatu Sebastian Giovinco naye alifunga bao moja .
Arturo Vidal, ambaye alifunga goli katika mechi zote mbili kati Inter na Nordsjaelland, naye alifunga goli lake la nne katika mechi nne mfululizo Kwadwo Asamoah naye alifunga kwa kichwa na kumaliza kalamu ya goli sita -- Goli la Pescara's lilifungwa na Emmanuel Cascione.

No comments:
Post a Comment