Arsenal imefuzu hatua ya mtoano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa msimu wa kumi na tatu mfululizo baada ya kuifunga Montpellier goli mbili bila wakati Schalke ikiifunga
Olympiakos.
Washika bunduki hao wa london ilibidi wajikaze kiume na almanusura Laurent Koscielny aipatie arsenal goli la uongozi katika kipindi cha kwanza lakini mpira wa kichwa alioupiga uligonga besera .
lakini Arsenal walirejea kipndi cha pili wakati Jack Wilshere
alipofunga goli kwa kuchop mpira Jack anafunga lake la kwanza tangu alipoumia miezi kumi na moja iliyopita.
Lukas Podolski alifunga bao safi ( volley)baada ya Montpellier kuokoa mpira ambao ulijibiwa moja kwa moja na mjerumani huyo ambapo goli hilo litaonyeshwa sana katika katika picha za runinga .
Manchester City wametolewa katika michuano ya ligi ya Mabingwa Barani ulaya kwa msimu wa pili mfululizo katika hatua ya makundi
baada ya kutoka sare na real madrid katika dimba la Etihad.
Vijana wa Roberto Mancini's walikuwa wakihitaji ushindi ilikuendelea na matumani ya ushindi lakini aliyechafua hari ya hewa alikuwa ni Karim Benzema's baada ya kufunga goli dakika za mwanzo wa mchezo.
Dakika ya 74 Sergio Aguero alisawazisha kwa pigo la penati baada ya kufanyiwa faulo na Alvaro Arbeloa, ambaye alitolewa nje na kwa kupewa kadi ya pili ya manjano lakini haikutosha city ilihitaji ushindi na sio sare
Porto3 vs 0Dinamo Zagreb
November 21, 2012 2:45 PM EST
Estádio Do Dragão — Porto
Referee: P. Tagliavento
Attendance: 27603
1 vs 4
November 21, 2012 2:45 PM EST
Amsterdam ArenA — Amsterdam
Referee: Pedro Proença
Attendance: 47500
Anderlecht1 vs 3Milan
Played
November 21, 2012 2:45 PM EST
Stade Constant Vanden Stock — Bruxelles (Brussel)
Referee: D. Skomina
Attendance: 19803
November 21, 2012 2:45 PM EST
Stade Constant Vanden Stock — Bruxelles (Brussel)
Referee: D. Skomina
Attendance: 19803
MATOKE YOTE
- Porto3 Dinamo Zagreb 0Dynamo Kiev 0 Paris St. Germain…2Arsenal 2 Montpellier…0Schalke 1Olympiakos 0Anderlecht 1 Milan 3
- Man City 1 Real Madrid 1
No comments:
Post a Comment