Timu ya soka ya taifa ya Ethiopia itakwaana na bingwa mtetezi wa michuano ya Cecafa Tusker Challenge itakayo fanyika Uganda.
Ethiopia ambao jina lao la utani Waliya ambao ni timu pekee kwenye ukanda huu wa afrika mashariki ambayo imefuzu kwa fainaliza mataifa ya africa 2013 imepangwa kuindi moja na - Kenya, na timu mpya ya Sudan kusini na bingwa mtetezi Uganda katika kundi A.
Mashindano hayo yataanza 24 November and 6 December, na yalipangwa katika hotel ya Serena Hotel katika jiji la Kampala na katibu mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye.
Ethiopia itacheza mechi ya ufunguzi dhidi ya timu mpya ya sudan kusini

MAKUNDI CECAFA
A: Uganda, Ethiopia, Kenya, South Sudan
B: Sudan, Tanzania, Burundi, Somalia
C: Rwanda, Malawi, Zanzibar, Eritrea
No comments:
Post a Comment