Mashabiki wa Tottenham Hotspur wamejeruriwa na wengine tisa hari zao sio nzuri walipokuwa wakipambana na mashabiki wa lazio katika jiji la Roma .
Spurs inatarajia kucheza na Lazio katika jiji la Roma katika michuano ya Europa League ambapo mamia ya mashabiki wa spurs wapo katika jiji hilo la Roma .
Mashabiki hao wa spurs walighasiwa katika bar iliyopo ndani ya boti katika wilaya ya Campo de' Fiori na imefahamika kuwa wameumizwa vibaya na machafuko hayo .
Mashabiki hao wa Lazio inasemekana ni genge la wahuni ambao wanahushishwa na sera za kibaguzi .
Tottenham imepata mashabiki kutoka jamii ya kijewish na baadhi ya mashabiki wa Spurs wanajiita "Yid Army". Peter Herbert, mwenyekiti wa chama cha wanasheria cha watu weusi Tayari ameripoti tatizo hilo polisi.
Tisa kati ya walioumia inaaminika ni waingereza wakati kumi ni waa Amerika .

No comments:
Post a Comment