Kocha wa Queens Park Rangers Mark Hughes, anabakia na kibarua chake cha kupasha mawaidha katika klabu hiyo baada ya kukutana na mkuu wa klabu hiyo Philip Beard.
Taarifa zilisema kuwa Mkufunzi huyo wa zamani wa Wales alifukuzwa baada kukutana na mkuu huyo katika viwanja vya mazoezi .
Taarifa zilisema kuwa Mkufunzi huyo wa zamani wa Wales alifukuzwa baada kukutana na mkuu huyo katika viwanja vya mazoezi .
Hughes anafanya kazi akiwa katika uangalizi baada ya Timu hiyo kutopata ushindi tangu ligi ya premier ianze na inashika nafasi za mwisho katika msimamo wa ligi ya uingereza baada ya kucheza mechi kumi na mbili bila kushinda hata mechi lakini moja ya wawakilishi wa klabu hiyo Kia Joorabchian alisema taarifa hizo sio za kweli bali zilikuwa ni za uzushi mtupu .
No comments:
Post a Comment