HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

18 November 2012

SERENGETI 1-0CONGO BRAZAVILLE


Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana waliochini ya miaka 17 Serengeti boys wakishangilia bao lililofungwa na Mudathiri Yahya Abbas



Timu soka  ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys  imeipata wa goli  1-0 dhidi ya congo brazavile kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam   katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Tatu na ya  kuwania kufuzu    kucheza Fainali za vijana za mataifa ya  Afrika zitakazopigwa nchini Morocco mwakani.


Serengeti  inahitaji  sare au ushindi  katika mchezo wa marejediano wiki mbili zijazo mjini Brazzaville ili iweze kufuzu fainali hizo  .
Kwa ujumla Serengeti walipigana katika mchezo wa leo, kwani wapinzani wao walionekana kuwa bora na wenye uzoefu zaidi yao.

Raha kwenda mbele 
Picha pallangyor blog  

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers