Ufaransa na Uingereza zitakutana katika michuano ya mataifa ya ulaya ya wanawake mwaka 2013 wakati bingwa mtetezi Germany atapambana na Norway, baada ya kupangwa kwa ratiba ya michuano ya ulaya iliyowekwa wazi huko Gothenburg.
wajerumani, ambao ni mabingwa mara tano mfululizo ambao pia wamechukua ubingwa huo mara saba wamepangwa kwa mara ya tatu mfululizo na na timu hiyo kutoka visiwa vya scandnavia . Huku uholanzi na Iceland katika kundi B.
katika kundi C, ufaransa watapambana na washindi pili mwaka 2009 Uingereza bila kusahau timu zilizopita mlango wa nyuma katika kufuzu michuano hiyo ya ulaya Russia na Spain, wakati wenyeji wa michuano hiyo Sweden watakuwa kundi moja la A na ndugu zao Denmark, Finland na Italy.
wafaransa waliwatoa waingereza kwenye mapigo ya penati katika hatua ya robo fainali mwaka 2011 katika mashindano ya kombe la dunia na walitoka sare mabao mawili kwa mawili katika mechi ya kirafiki mwezi uliopita .
Michuano hiyo itaanza kuanzia 10-28 mwezi julai mwakani huku timu mbili za juu katika kila kundi na washindi wawili katika tatu bora watakwenda hatua ya robo fainali

No comments:
Post a Comment