Chama cha soka cha Uingereza FA kimethibitisha kuwa kitaanza kufanya uchunguzi baada ya kutokea ajari ya kurushiwa kitu kisichofahamika kutoka Jukwaani katika mchezo uliokutanisha timu mbili za mji mmoja yaani Manchester Derby ambacho kilimgonga Rio Ferdinand.
Ferdinand ameonekana kupigwa na Sarafu alipokuwa akishangilia bao la tatu dhidi man city, sasa swala hilo linashughurikiwa na maafisa polisi wakuuu wa jiji la Manchester na Maafisa wa FA
Ferdinand ameonekana kupigwa na Sarafu alipokuwa akishangilia bao la tatu dhidi man city, sasa swala hilo linashughurikiwa na maafisa polisi wakuuu wa jiji la Manchester na Maafisa wa FA
Katika Taarifa iliyotolewa na FA Kuwa wanachunguza tukio hilo lililotokea baada ya goli la tatu kufungwa ambapo Rio Ferdinand
alipigwa na na kitu kinachodhaniwa kuwa ni sarafu
FA italishughurikia swala hilo na kwa kushirikiana na maafisa polisi wa Manchester na wasimamaizi wa majukwaa ambao walikuwepo wakati tukio linafanyika na waamuzi waliokuwa karibu na eneo hilo
Msemaji wa FA amesema : " ni jambo la kusikistisha hasa kwa ligi ya uingerza kutokea jambo kama hilo ambapo ulimwengu mzima unatazama .tuta lifanyia kazi swala hili na klabu zote mbili ilikuweza kuwafahamu waliofanya kitendo hiki na adhabu kubwa kwa atakae patikana atafungiwa maisha kuto kuingia kiwanjani
"Tunalaumu kitendo hiki na hakikubariki kwani kilimkata juu ya jicho na alipata matibabu na kurejea kiwanjani
"Mpira wa miguu nchi hii umeleta maendeleo makubwa katika miongo iliyopita tunatakiwa kuendeleza usalama na ulinzi ndani ya viwanja na watuhumiwa watapa adhabu kali na kuwa fundisho kwa wengine
No comments:
Post a Comment