Rais wa UEFA Michel Platini amepinga vikali na amesema hata unga mkono matumizi ya utumiaji wa teknoloia ya ugunduzi wa goli Barani ulaya ,na ameelezea kuwa juhudi hizo za fifa ni za kupoteza fedha pasipo na sababu ya msingi ”.
Platini ambaye amepewa jina la mlopkaji amekuwa akipinga juhudi hizo za fifa kutaka kuleta teknolojia ya ugunduiz wa goli kuvuka mstari na amesema ni kheri wangejikita katika kuongeza waamuzi kuwa watano.

Amesema hayo Katika ufunguzi wa kombe la dunia la vilabu huko japana vile vile kunafanyika majaribio ya mifumo mifumo aina ya ugunduzi wa goli wa kwanza ni – GoalRef, ambao hutumia sumaku kugundua kama goli limeingia au halijaingia na ya pili ni jicho la samaki ambayo yenyewe hutumia vinasa picha mwendo sita mpaka nane (Moving Camera ) kutoka Engo tafauti .
Platini, ambaye yupo asia kutia saini makubaliano ya kupinga matumizi ya mifumo hiyo na (AFC) shirikisho la soka bara la Asia katika makao makuu yake huko Bukit Jalil, ili kundelea na kusisitiza kuwa na msimamo mmoja wa kupinga kile wanaachookitaa ni upotevu wa fedha
Platin --- “itagharimu yuro 50mil katika kulipgia upatu wazo hilo katika mashindano ya vilabu bingwa barani la ulaya na ya kimataifa na itachukua miaka mitano anasema Platini.
'' Ni kheri nichukua mil yuro mil 50 na kuwekeza katika maendeleo ya soka la vijana … Huo utakuwa utumiaji Mzuri wa pesa lakini sio kutumia fedha nyingi kiasi hicho kwa tukio linalotokea kwa mwaka mara mbili au mara moja .
“Nina amini bora kutetea waamuzi wawe watano badala ya kuja na mfumo huo
“Kama mwamuzi atasimama mita moja kutoka kwenye goli atakuwa na uwezo wa kuona kama goli limeingia au halijaingia .”
lakini wakati UEFA hawataki mchakato hu rais wa shirikisho la asia ambaye anashikiria madaraka kwa muda Zhang Jilong anaonekana kukubaliana na wazo la fifa .
“Tutazama mafanikio katika michuano hii ya Tokyo na tutapata jibu kama tutumie mfumo huu au tuachanane nao ,” aliongeza Jilong.

No comments:
Post a Comment