Mchezaji wa kimataifa wa Amavubi anayechezea klabu ya Yanga Haruna Niyonzima anakwenda sudan kwa kandarsi ya miaka mitatu kuchezea El Merreikh ya sudan .
Nahodha huyo wa Amavubi ni moja kati ya wachezaji wanaolipwa ujira mkubwa zaidi ambapo imekuwa ikiripotiwa kupokea ujira wa dola za kimarekani US $3,000 kwa mwezi bila kujumuisha malupulu mengine kama gari ya kutembelea na nakadharika

Mchezaji huyo wa zamani wa Etincelles na Rayon Sport starlet anaweza kukumbana na kizingiti baada ya klabu yake ya yanga kukataa kuwa haijakaa na kuzungumzia swala hilo la klabu hiyo
Vyanzo muhimu vya hapa nyumbani vinasema kuwa yanga wameweka dau la dola za kimarekani
$75,000 )kwa timu itakayomtaka mchezaji huyo wa kimataifa wa Rwanda lakini kiwango hicho inaonekana kisilipwe kutokana na mchezaji husika kubakiza miezi sita katika mkataba wake wa sasa
Haruna alijiunga na Yanga miaka miwli iliyopita akitokea kwa mabingwa wa ligi ya Rwanda APR FC kwa uhamisho wa dollar $30,000 na mshahara wa USD 1500.
Mchezaji binafsi ameshasema anataka kuondoka yanga
No comments:
Post a Comment