HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 December 2012

JAMANI MBONA KAMA HENRY !!!!


Theo Walcott Amefunga mabao matatu nakutengeneza mengine pale Arsenal ilipoizidi kete  Newcastle katika sinema iliyozaa magoli kumi na kupanda hadi nafasi ya tano.

 Walcott, ambaye atakuwa huru ifikapo mwezi january alifunga goli  la kwanza kabla ya Ba kusawazisha kwa  mpira wa adhabu uligongwa na wilshere 

 Baada ya Sylvain Marveaux kusawazisha  goli   Alex Oxlade-Chamberlain's alifunga la pili kwa kiboko cha chini na baadae  Lukas Podolski, Giroud waliipa arsenal ushindi wa mabao saba kwa matatu 
.
Sunderland1 - 2Tottenham
Aston Villa0 - 3Wigan
Fulham1 - 2Swansea
Man Utd2 - 0West Brom

Norwich3 - 4Man City
Reading1 - 0West Ham
Stoke3 - 3Southampton
Arsenal7 - 3Newcastle

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers