HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 December 2012

OLD IS GOLD



Kiungo wa Chelsea Frank Lampard ameisadia timu yake kupata ushindi wa mabao mawili kwa moja  katika uwanja wa Godson Park wakati timu yake ilipoifunga   Everton katika mfulilzo wa ligi ya uingereza . 

 Kijana huyo mwenye miaka  34-, ambayae atakuwa huru majira ya kiangazi aliunganisha kwa kichwa mpira uliopigwa na Nascimento  Ramires' akisawazisha baada ya timu ya kuwa nyuma ndani ya sekunde 62  

 Steven Pienaar aliipatia goli la uongozi  Everton baada ya  Victor Anichebe kupiga kichwa kilichogonga mlingoti wa Goli  

 Chelsea' inapata ushindi wa nne chini ya kocha wa muda   Rafael Benitez,ambapo sasa chelsea inamaliza mwaka 2012 ikiwa na alama nne nyuma ya  Manchester City na  11 dhidi ya  Manchester United, lakini wa kiwa na mechi moja mkononi  

 Magoli yake yanaifanya   Everton's kufungwa kwa mara ya kwanza katika uwanja wake wa nyumbani tangu ilipofungwa   Mwezi March   1-0 Dhidi ya  Arsenal.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers